Kutengana na mtu uliyekuwa naye katika uhusiano wa kimapenzi ni jambo linaloweza kuwa gumu sana.
Wakati mwingine, mahusiano husambaratika na kuisha mara moja na mwanga wa mapenzi uliong’aa unazimika haraka sana.
Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
Habari Nyingine: Awiti wa kipindi ‘Real Househelps of Kawangware’ awashambulia waliomkejeli kwa tumbo lake kubwa
Mahanjam ya mapenzi uliyoyazoea ulipomwona mpenzi wako yanatoweka na unasalia na hasira na chukizo usizoweza kueleza.
Kukubali kuwa ‘mapenzi yamekwisha’ sio jambo rahisi.
Habari Nyingine: Majambazi 10 wajifungia nyumbani kwa mfanyibiashara kwa wiki moja na kula ugali kwa samaki
Usijali kwa kuwa tunakujali. Chukua kalamu na karatasi ujifunze jinsi ya kumpiga teke huyo mpenzi wako aliyekukera.
Unaweza kuzima simu yako na kuanza maisha mapya kwenye jiji au mji mwingine.
TUKO.co.ke iliwauliza Wakenya njia rahisi za kuachana na mpenzi na haya ndio maoni waliyotoa:
Habari Nyingine: Nahodha wa zamani wa Arsenal amtetea Wenger akisema anastahili kuheshimiwa
Habari Nyingine: Viongozi wawili wa Al-Shabaab kutoka Kenya waorodhesha kama magaidi wa dunia
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una taarifa ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Hotuba nzima ya Uhuru na Raila kwenye jumba la Harambee – Kwenye TUKO TV
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia4V1hJNmpaOhkWJ%2Bd3nRmp%2Biq5lix6J5yq6rnqaXlruiec2aZKaolaPHqnnWmqKepqmWeritxaKaoa2RY7W1ucs%3D