Serikali kuondoa marufuku ya safari za usiku baada ya marufuku hiyo kubatilishwa na mahakama
- Serikali imo katika harakati ya kuondoa marufuku dhidi ya safari za usiku kwa magari ya umma kufuatia uamuzi wa mahakama - Akilihutubia bunge siku ya Jumatano, Januari 17, katibu mkuu wa usafiri, Paul Mwangi alisema kuwa serikali inatarajia kurejesha safari za usiku kwa magari ya umma hivi karibuni