DNA Yathibitisha Mjukuu wa Moi Ndiye Baba Mzazi wa Watoto Anaokataa Kuwalea
Uchunguzi wa chembechembe za vinasaba (DNA) umethibtisha kuwa mjukuu wa marehemu Daniel Moi, Collins Kibet Moi ndiye baba halisi wa watoto wawili anaodaiwa kuwatelekeza Matokeo hayo yaliwasilishwa katika Mahakama ya Nakuru, Jumatano, Agosti 25, wiki tatu baada ya Kibet kukubali kutii agizo la mahakama la kumtaka afanyiwe uchunguzi wa DNA kuthibitisha ikiwa yeye ndiye baba