Ijumaa, Juni 4: Watu wengine 17 Wapoteza Maisha, 284 Waambukizwa COVID-19
- Jumla ya wagonjwa nchini imefika 171,942 huku asilimia mpya ya maambukizi ikigonga 6.3% - Vifo vipya vilivyorekodiwa vilitokea kati ya mwezi wa Aprili na Mei Mnamo Ijumaa, Juni 4 Kenya ilirekodi visa vipya 284 vya Covid-19, na kufikisha jumla ya wagonjwa nchini hadi 171, 942 Waziri wa Afya Mutahi Kagwe amesema.