Jane Muthoni: Mjane wa Aliyekuwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Kiiru Afungwa Miaka 30
- Muthoni alishtakiwa kwa mauaji ya kinyama ya mumewe, Solomon Mwangi mnamo 2016 - Uamuzi huo ulitolewa na Jaji Joel Ngugi Alhamisi, Juni 3, kuashiria kuwa sasa hatimaye kesi hiyo imefika kikomo - Mwangi alitoweka Novemba 4 , 2016, kabla ya kupatikana akiwa ameaga dunia siku nane baadaye katika shamba la kahawa huko Juja, kaunti